Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

Hii nayo ni fursa ya kuacha kula kitunguu, mnataka kujua athari za kitunguu ?

Prof.-Mohamed-Y.-Janabi_300_300shar-50brig-20_c1.jpg
 
Kumbe mpaka vitunguu navyo vimekuwa dili.
Sisi wengine tukishaacha kodi ya meza tunajua kula tu tukirudi.

Hii nchi ni kama iliyolaaniwa. Itafikia wakati mpaka nyasi zitakuwa dili maana tunakoelekea ndio zitakuwa mbadala wa mboga.
 
Back
Top Bottom