Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe
Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa...
Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video.
https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
Albert Einstein
Albert Einstein: What a wise man never says to a woman
Few names evoke as much intelligence and depth as Albert Einstein’s. But beyond his formulas and theories, the German physicist left a legacy of reflections on life, love, human behavior and the power of silence.
One of...
Hey Wana JF
Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering.
Awe na weledi katika masuala haya.
Blogs,
Apps,
Logos designs,
Wallpapers,
Photography,
Broadcasting Network.
Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi.
.....
ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki ili kuepuka vizuizi wakati wa msongamano. Ni chaguo linalolenga “power users” kama watafiti na...
Wakuu virus hapana aisee mpaka sasa nimetumia 30000 ila bado an kuna huyu anaitwa KASPERSKY aisee anaficha file zangu hapa..
Anaficha file ambazo ukiweka tu flash hayaonekani mpaka u search.
Hatua ya kwanza niliyofanya nilipiga window ila wapi..
Nipo katika hatu ya pili hapa ya kudownload ant...
Ninaomba kazi za Data entry, analysis...
Kutoa huduma za simu na pesa na internet
Graphics designing
Supermarket na security checking and approval.
Ninakuhakikishia nitakufanyia kazi yako kwa uhakika umakini na kwa wakati unaotakiwa.
Mwaminifu na NAMUOGOPA MOLA WANGU...my friend nakuhakikishia...
Wakuu naomba kama unafanyaga kazi za fumigation unicheki
Kazi: kupulizia ama kupaka dawa mbao za kenchi ya nyumba
Mahala: Morogoro mjini
Bei : tutazungumza ukishanicheki
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
Jinsi ya kutumia 'variables' katika Java! , usikose video hii muhimu!
Iwe wewe ni Mpya au tayari una uzoefu, video hii itakufundisha:
Maana na umuhimu wa 'variables' katika Java:
'Variables' ni nini? Katika Java, 'variables' ni kama vyombo au mahali pa kuhifadhi taarifa (data). Kila variable...
Wakuu heshima yenu
Kwa anayejua sehemu nzuri ya kufanyia masaji ya low back kwenye mgongo na miguu misuli inakaza sana kwa hapa Dar penye gharama nafuu naomba kuelekezwa mambo ya kuenda muhimbili siwezi gharama
Habari zenu.
Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili.
Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu.
Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini.
Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi.
Kama...
Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration.
Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine.
Kwa yeyote aliyekuwa tayari...
Biashara inayokua kati ya nchi za Afrika na China katika miaka 15 iliyopita imetumika kama kichocheo cha ajira na kuinua kiwango cha maisha katika bara la Afrika.
Katika mahojiano na Shirika la Habari la China Xinhua, Profesa Xn iraki wa Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya amesisitiza nafasi...
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA
Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae.
Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania.
Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.