mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

    Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara. IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
  2. thirteen06

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mstaafu, au mzoefu kazini, shauri au toa mbinu mbalimbali zinazofaa kwa mtumishi hasa wa local government azitumie ili afanikiwe kiuchumi

    Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT amkabidhi Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu (Jenerali Sarakikya) gari jipya la kisasa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha. Akiongea muda mfupi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

    Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  7. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Ufilipino, Rodrigo Durtete atimiza miezi kadhaa Jela akisubiri Mashtaka ya Mauaji

    Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Freelancer mstaafu: Niuze swali lolote kuhusu Freelancing na Remote work

    Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu, 1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400 2. Nimetumia platform zote za freelancing 3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000 4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu 5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz 6. Nimejifunza skills zaidi ya 20 7...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, Rais Samia,Karume,Mawaziri Anthony Mavunde, Mwigulu na viongozi wengine mashabiki wa Yanga mmeshindwa kuisaidia Club?

    Inashangaza sana, TFF na Bodi ya Ligi wameamua na wamedhamiria hadharani kuonyesha ubabe na ukandamizaji wa wazi dhidi ya Yanga. Una ahirisha mchezo kinyume na taratibu tarehe rasmi ya mchezo kisha unamlazimisha kucheza na kumpangia yule uliyemkandamiza! Kwanini usingemlazimisha yule aliyetaka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari

    Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kulipwa Mafao Ndani ya Siku Saba (7)

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema kutokana na maendeleo ya mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), sasa hivi mstaafu anaweza kulipwa mafao yake ndani ya siku saba, licha ya sheria mpya ya Mafao kutaka...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mstaafu wanatosha kutuwakilisha Mazishi ya Papa Francis

    Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

    Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani), 2. Ulinzi (mpaka kifo), 3. Gari na dereva...
  18. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Unabii wa makamu wa Rais mstaafu Mh Mpango utatimia 2026

    Makamo wa Rais kwa akili timamu ameamua ku step down nakuwaacha vijana waongoze... ila nyuma ya pazia wapambe hawakufurahi ila hawakufurahi kwa sababu Mh Mpango ameona mbali kuliko wenzake wameona na kiukweli hakuna atakaye kwambia uwone nijukumu lako uwone. Alama zinaonyesha uwenda utabiri na...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

    Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli. Ukikutana nae...
Back
Top Bottom