Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia.
Ikumbukwe huyu nabii feki...
Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
MY TAKE;
Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.
Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote...
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo.
Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao wakubwa! Mheshimiwa kwa maneno yako ulilalamika kuwa hivyo "vimemo' vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi...
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.
Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Familia ambapo Maziko yatafanyika kwake Fuoni Mambosasa na Maiti itaswalia Msikiti wa Mwembeshauri...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual.
Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
-3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ?
-Whats the plan tupate ripoti yetu ?
-Inawezekana ripoti iwasilishwe
alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me.
Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
Jaji Mstaafu Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Machi 20 katika hospitali ya Hitech Health care iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Manning aliyekuwa pia Jaji wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki na kati, aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani.
Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia!
👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA
Fikisha ujumbe kwa wahusika
🎯Volatile investments.
aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos
🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako...
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya kusomwa kwa hoja za awali.
Mashitaka 2 yameongezwa na kufanya jumla ya makosa kuwa 11.Upande wa Jamhuri...
Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu.
Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba.
Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM?
Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka.
Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
Wanakumbi.
Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa.
Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa
Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373
Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje.
Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi.
Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha maandamanl?
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt. mwigulu nchemba
dodoma
kassim
kassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.