Wakulungwa hamjamboooo....!??
Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa kipindi kisichopungua miaka 35.
Yaani waliosema pesa sabuni ya roho hawakukosea, mweeh mweeh yaani...