msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  2. JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani kwa watoto hasa hawa wa shule za Msingi na Sekondari

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari (Serikali na Binafsi) haki ya kuona vivutio vya nchi yao na hii kitu iwekwe kwenye mitaala ya Elimu yao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi (Dar) yaahirishwa mpaka Juni 19, 2025

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, mkazi wa Dar es salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka 11 imetajwa Mei 27, 2025 na kuahirishwa mpaka Juni 19, 2025. Kesi hiyo ambayo iliendelea siku hiyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa watu makini tutatambua kuna faida kubwa kwa CCM na Tanzania kuwa "Gwajimalized" kuliko kuwa "Samialized" kwa sababu hizi hapa za msingi

    Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
  7. JamiiForums Tanzania Shule msingi za EM(English Medium?)zaanza kufwata watoto wafanyishwa mitihani ya kujiunga secondari hizo.

    Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema. Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
  8. JamiiForums Tanzania Kutatengwa budget kati ya sh billion 500 mpaka Trillion 1 kwa ajili ya kuboreshwa mazingira ya shule za msingi, secondary na vyuo vya ufundi

    Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021. Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msingi wa Ilani

    "Maamuzi ya kisiasa na ahadi za vyama vya siasa lazima yajengwe juu ya uhalisia wa maisha ya wananchi, unaoonyeshwa kupitia tafiti na takwimu, ili sera zitakazopendekezwa ziwe za kutekelezeka, zenye tija na zinazogusa uhalisia wa changamoto." Alloyce, P.R.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  11. JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Dunia iongeze nguvu kuwasaidia Watanzania kupambana dhidi ya dhuluma ya Haki za msingi za binadamu

    Suala ya udhulumaji haki kwa wananchi wa Tanzania linalofanywa na watawala, lina uhalali na haki ya kupata msaada mkubwa kutoka jumuia ya kimataifa. Ni mwendawazimu pekee ndiye anaweza kutamka kuwa eti udhulumaji wa haki, ikiwa ni pamoja na utekaji na mauaji ya wakosoaji, ni suala la ndani ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  15. JamiiForums Tanzania Tubishane kwa Hoja na Itikadi za Vyama Vyetu, Kwenye Masuala ya Msingi Kama Taifa Tusimame Imara Kama Mwamba

    Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
  16. JamiiForums Tanzania Jambo la Msingi Kabla ya Kuanza Kilimo ni KULIJUA Shamba Lako!

    Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu? Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi! Leo #RubabaTV tupo Shigagati - Geita Vijijini tukitembelea shamba la mkulima wa mpunga kwa ajili ya: 🧪 Kupima udongo 📏 Kupima...
  17. JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA wana hoja za msingi sana kwa Watanzania, wasikilizwe

    https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tuweke hoja za msingi hapa kama watu tunaojitambua

    TANZANIA NI NCHI YA DEMOKRASIA. Naomba tuweke hoja ya msingi juu ya maswali yafuatayo. 1. Kwanini agenda ya reforms kabla ya uchaguzi mwaka 2025 inapigwa vita mpka kwa kutesa, kuumiza na kumwaga damu? 2. Kwanini mifumo mibovu ya uchaguzi inakumbatiwa na kutetewa?? 3. Kwanini kiongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

    Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…