msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo kubwa katika Elimu yetu ni Elimu ya Msingi na Awali

    Katika lugha ya Kiswahili cha mitaani kitu kuoza maana yake ni kupitiliza mda wake wa matumizi au kupitwa na wakati. Katika makala hii mwandishi ametumia neno “elimu yetu imeoza” kuonyesha elimu yetu imepitwa na wakati na inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana. Kwa historia elimu yetu...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

    Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30 Pia soma: Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kilichopo Chanika kinauzwa

    Ukubwa 20*20m Msingi wa kisasa Tofali mia mbili zipo Gari inafika Umeme nguzo ipo site Bei 5m, mazungumzo yapo 0712464478
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

    Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msingi wa haya yatayotokea leo na pia ni msingi wa yatatokea siku zijazo

    Tunaweza kuwa tunaimiza vichwa juu ya haya yanayoendelea na pengine tukawa hazipati majibu na tunashindwa kuwaelewa hawa watu tuliowapa dhamana kwanini wanafanya au kutenda haya. Naomba niwaambie sababu kubwa ni hii: "Chama cha siasa au Mtawala ambae yuko madarakani kwa muda mrefu au mfupi...
  6. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sayansi ya Kilimo irudishwe na ifundishwe shuleni kama somo la Msingi kwa kila Mtanzania

    Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza. Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari. Somo la Sayansi KILIMO ninaamini Wengi wetu haswa kaka na dada zetu walilisoma ingawa kwa uchache ila...
  7. olele

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani? kaniambia mil 12 kidogo nizimie. Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Aina ya uongozi wa Rais Samia unafaa kwenye nchi au taifa lenye taasisi imara na huru lililojengwa katika msingi imara wa Kikatiba

    [A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza; 1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

    Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia? Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona unafundishwa mambo haya ujue unatatizo la msingi

    Wakuu Kwema!! Taikon sina mengi. Leo ni haya tuu. 1. Ukiona unafundishwa namna ya kuishi na Mumeo au Mkeo, basi jua unatatizo la msingi. 2. Ukiona unafundishwa namna ya kuweka akiba, jua unatatizo la msingi. 3. Ukiona unafundishwa namna ya kutafuta Utajiri, Jua unatatizo la Msingi. 4...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Demokrasia kama Msingi wa Maendeleo

    DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia na haki ya kijamii na kwahiyo;(a)...
  16. ImanHB

    JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
  17. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Somo la Ujasiriamali liongezwe katika Mitaala ya viwango vyote vya Elimu

    Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
  19. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni Msingi kwa Mtoto

    Watoto wanaanza darasa la kwanza na wakifika darasa la nne tu mtihani wa taifa huu hapa. Huyu mtoto mdogo unamuekea akilini kwamba shuleni hajaja kujifunza bali amekuja kufaulu mtihani tu. Elimu ya msingi ndio palitakiwa pawe mahala ambapo mtoto anajifunza namna ya kujifunza. Palitakiwa pawe...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Back
Top Bottom