msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  2. JamiiForums Tanzania Ubinafsishaji wa Bandari ilikuwa game changer, je Rais Samia alikwama wapi?

    Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri. Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Msingi na kuzungumzia na wananchi wa Mkalama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/Sk3eDgwDVE4?si=IVZq6ptc4k0M_NPb Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

    MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika. Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali. Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. JamiiForums Tanzania Tunatoa wapi Elimu yetu?

    Tunatoa wapi elimu yetu au msingi wa elimu na mafundisho yetu ni nini? Hili ni swali muhimu katika kuelewa: moja elimu yenyewe, na pili mafundisho yanayotolewa na hiyo elimu. Katika kuelewa elimu yetu, utafiti unapaswa kuwa katika kuelewa mafundisho gani inatoa kwa wanaojifunza au...
  10. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  12. JamiiForums Tanzania Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  14. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 330,000 Wa Shule za Sekondari & Msingi Wameacha Shule Mwaka 2022 Pekee. Kanda ya Ziwa Yatia Fora

    Aisee pamoja na Juhudi za Serikali kupanua Elimu ila school dropout inazidi kuongezeka Wanafunzi takribani 330,000 ni wengi sana kuacha shule Kwa mwaka mmja tuu. https://www.jamiiforums.com/threads/kigoma-nusu-ya-wanafunzi-hawajafanya-mtihani-wa-darasa-la-saba-utoro-watajwa.2138803/ Hali ni...
  18. JamiiForums Tanzania Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…