CCM msituchanganye ilani ndiyo msingi mkuu wa uchaguzi na kuchaguliwa

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,001
Habari!

Kila ninapojaribu kuangalia ilani ya chama na vipaumbele vya CCM (2020-25),nakuwa hopeless kabisa inaonekana behaviour approach is most likely katika chama hiki kikongwe nikipendacho kuliko preferences ambazo zilikuwa manifested kipindi cha uchaguzi ambapo RAIS MAGUFULi(party manifesto) iliamini katika kujitegemea kunaletwa na ujenzi.

Bora miundombinu ambayo yataleta mapinduzi katika viwanda na usafirishaji lakini kwa upande wa awamu ya 6 ambayo bado ipo katika term ya awamu ya 5 imejizatiti katika ubinafsishaji (uwekezaji) ambapo naona sio jambo sahihi kwa taifa changa.

Nawasilisha CCM MSITUCHANGANYE.
 
Back
Top Bottom