msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msimu wa biashara ya usafirishaji

    πŸ”₯ USAFIRI NI BIASHARA YA MSIMU β€” JE UPO TAYARI KUVUNA FAIDA? πŸ”₯ High season inakaribia kwa kasi (Juni – Desemba) β€” huu ndio muda ambao mabasi yanafanya pesa halisi πŸ’° πŸ‘‰ Usisubiri msimu uanze ndipo uanze kutafuta bus… utachelewa! 🚨 Weka order yako SASA Ili kufikia high season uwe tayari na bus...
  4. JamiiForums Tanzania TFF Iwe Inaweka taratibu za Ligi Mwanzoni mwa Msimu tu

    Hii tabia ya kuruhusu viwanja mwanzoni mwa msimu halafu baadaye kuvifungia wakati ligi inaendelea siyo jambo zuri. Wakishakagua uwanja na kuupitisha basi wangoje hadi msimu uishe ndipo wautolee uamuzi mwingine.
  5. JamiiForums Tanzania Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

    #GGMU #MUFC
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabuπŸ˜„πŸ˜„ Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  8. JamiiForums Tanzania Msimu wa sikukuu wafuatao ndio muda wao sasa

    Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine. 1 Huduma za Usafiri na sheli. 2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo. 3. Wauza vileo, kumbi za starehe, Wasanii(Hapana wafanye kazi kwanza) na wauzaji wa vyakula vizuri. Kama hujatunza Pesa...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. β€œNaomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ofa ya X-Banners msimu wa Christmas

    OFA ya msimu wa Christmas, jipatie X BANNER kutoka HAMIA DIGITAL utangaze biashara yako kisasa zaidi na kwa bei poa. Bango la X BANNER ni rahisi sana kuhamishika, ni kama unavyofungua na kufunga Mwavuli. ⚠️ BEI YA OFA ⚠️ 1PC: Tsh 80,000 2PCs: Tsh 75,000 / PC +3PCs: Tsh 70,000 / PC Size: 80cm x...
  11. JamiiForums Tanzania Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  12. JamiiForums Tanzania Arsenal kusitisha uhusiano wake na 'Visit Rwanda' mwishoni mwa msimu wa 2026

    Baada ya miaka nane ya nembo ya Visit Rwanda kupamba bega la jezi za Arsenal, klabu hiyo litangaza kuwa itasitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda ifikapo mwezi Juni 2026. Hata hivyo, ushirikiano huu haukupita bila changamoto. Makundi ya haki za binadamu yalieleza wasiwasi kuhusu kuhusishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sergio Busquets atangaza kustafu soka mwishoni mwa msimu

    Hatimae kiungo bora mkabaji wa muda wote, Segio Busquets ametangaza kustaafu soka kufikia mwisho wa msimu. Busquets ambaye huwa anacheza kiungo mkabaji, amefikia uamuzi huo katika umri wa miaka 37. Ni mshindi wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 akiwa na Timu ya Taifa ya Spain katika fainali...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya minara na parachute unapendelea yapi zaidi?

    Eti mabaharia😜
  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la TFF, Msimu mpya unaanza tuzo za msimu uliopita hazijatolewa

    Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa. Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  17. JamiiForums Tanzania Vidosho msimu wa kampeni

    Miaka ya nyuma muda wa kampeni ukifika kwangu ndio ulikuwa muda mzuri mno wa kula vidosho wa kila namna. Nilikuwa nasafiri na misafara ya wagombea ubunge sehemu mbalimbali na ifikapo usiku,aiseee vidosho unachagua unataka ule yupi. Nilikuwa na gari moja hivi niliyopewa na kaka yangu na...
  18. JamiiForums Tanzania Cadillac kuingia Formula 1 GP kuanzia msimu ujao wa 2026. Kwa kuanza, watatumia engine za Ferrari.

    Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1. Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari. Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

    Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
  20. JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    π‡πŽπŒπ„ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ”. πŸ”° π€π–π€π˜ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ” πŸ”° π“π‡πˆπ‘πƒ πŠπˆπ“ πŸπŸŽπŸπŸ“/πŸπŸ” πŸ”° πŒπ“πŽπŠπŽ 𝐖𝐀 πŠπˆπŒπ€π“π€πˆπ…π€ π”πŒπ„π…πˆπŠπ€ 🀩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako MwananchiπŸ”°.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi πŸ’šπŸ’›
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…