msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Waliochangia Simba kukosa ubingwa msimu huu

    1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam) 2.Kijiri( vs Yanga) 3.Chasambi (vs Fonten gate) 4. che Malone( vs Azam)
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wakati ligi yetu ikiwa haijaisha, EPL watoa ratiba ya msimu mpya, Man Utd Vs Arsenal wiki ya kwanza

    Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana. Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

    Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana. Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  8. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Msimu wa kutukwanwa Waarabu umekaribia

    Ndugu Wana Jamii Kwanza nakuamkieni kwa heshima na taadhima. Mbele yetu zinakaribia siku za kampeni za kisiasa, zoezi muhimu sana linalowapa Watanzania uhuru wa kutowa ridhaa zao juu ya viongozi wanaowataka kusimamia maisha yao kiujumla. Kwa lugha nyingine, ni kwamba tunaingia katika uchaguzi...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  10. Yoav Gallant

    JamiiForums Tanzania Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

    Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha...
  11. AKAN

    JamiiForums Tanzania KUELEKEA MSIMU WA KIPUPWE/UPEPO /BARIDI

    Kuelekea msimu wa kipupwe/upepo..., vp umejiandaaje mdau
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

    Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka Multiplier...
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

    Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje. Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao. Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja. Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hii timu, Man Utd tunaingia top 4 msimu ujao

  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rasmi Ken Gold Imeshuka Daraja Kwa Msimu wa 2023/2024

    Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union. Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17 Kimahesabu...
  18. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mbolea bora msimu huu wa kilimo

    Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Azam wanaopaswa kuchezea Simba Msimu ujao

    Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Msimu huu kuna uwezekano wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za kiarabu

    Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya mashindano ya CAFCC, kuna uwezekano mkubwa wa Simba kucheza na timu 6 hadi 7 za ukanda wa Kaskazini...
Back
Top Bottom