msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu

    Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge BARAKA ILDEPHONCE atatufaa - ni MTU asiyekuwa na makando kando - smart na mwenye msimamo imara

    Jf, Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake. Mteua yuko makini sana Mteule ni mcha Mungu sana Bunge limepata mtendaji imara sana. Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana. PIA SOMA - Uteuzi Septemba 16...
  3. JamiiForums Tanzania LHRC, ACT-Wazalendo wajitosa mauaji Ali Kibao, kada wa CHADEMA

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao wala walipotokea. Wito wa LHRC unaungana na wa Chama cha ACT-Wazalendo, kilichohoji maswali...
  4. JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo atoa msimamo mkali sakata la Chadema Mbeya

    Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  6. JamiiForums Tanzania Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  7. JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
  8. JamiiForums Tanzania MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

    Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli Uganda - 2,Riadha Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bodaboda acheni undumilakuwili kwenye siasa, kuweni na msimamo, saa ya Ukombozi ni sasa!!

    Salaam, Shalom!! Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta? Iweje mlipwe na Kila mwanasiasa mwenye pesa? Yaani yeyote mwenye uwezo wa kuwajazia full tank mko naye na hamjali...
  10. JamiiForums Tanzania Nampongeza Spika Tulia Akson kwa msimamo wake dhid ya wabaya wa Bashe. Tuliona huko nyuma Lowassa akisungiziwa kwa maneno kama ya Mpina

    Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea watanzania kukosa huduma ya kiongozi jasiri na shupavu. Kimsingi matatizo yote yanayotukabiri Leo...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  12. JamiiForums Tanzania Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  13. JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Anglo America kwa BHP msimamo wa serikali ni upi

    Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine maarufu kama GGM. Nchi nyingi zenye uwekezaji wa Anglo America ikiwemo Botswana South Africa zimetoa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wakazi innocent wa gaza wanajua kabisa ghorofa ulilokaa kuna huenda chini kuna hamas na unashindwa kuondoka si heri ukakae baharini

    Mimi sishabikii upande wowote wa hii vita ila Kwa hali ya kawaida kama kweli huwaungi mkono vijana wa hamas na ni mkazi wa Gaza si unahama kabisa kwanini Mpaka watoe taarifa kwamba muondoke nyie bado mmetulia ndani. Israeli anafanya kuhangaisha watu sio jambo jema na ilikuwaje hamas wanajenga...
  16. JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC (UPDATE)- Timu Yako Ipo Nafasi Ya Ngapi?

    Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
  17. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  18. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yaunga mkono msimamo wa India kuhusu Kashmir

    Katika taarifa ya pamoja na Pakistan nchi hizo mbili zilitoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano kati ya Mrithi wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif. RIYADH: Saudi Arabia inaonekana kuunga mkono msimamo wa India kuhusu Jammu na Kashmir katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili. Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…