Melvine JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 721 Reaction score 1,388 May 1, 2024 #1 Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11 Attachments Screenshot_20240501-035722.jpg 124.9 KB · Views: 42
Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,950 Reaction score 136,718 May 1, 2024 #2 Kwani Mwasibu anasemaje?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,907 Reaction score 28,462 May 1, 2024 #3 Hii ikitakiwa kukaa kwenye ule uzi wa mwasibu
Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 1,195 Reaction score 1,472 May 1, 2024 #4 Ipo number 14 hapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,473 Reaction score 196,201 May 1, 2024 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,507 Reaction score 4,941 May 1, 2024 #6 Coastal Union wakipambana hapo wanashika nafasi ya tatu