msikitini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Sio Lazima ufunge ndoa Kanisani au Msikitini. Kwanza huo ni Utumwa

    SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi. 2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
  2. Dr. Mariposa

    Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

    Asalaam aleykum waungwana wote, Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana...
  3. M

    Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

    Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement...
  4. J

    Ukiona Shehe anaingia Kanisani jua hiyo ni Siasa kimaandiko kabisa lakini ukimuona Askofu msikitini ujue anawatafuta Kondoo waliopotea

    Kama unabisha kasome vitabu vitakatifu vyote viwili Shehe wa Mwamposa alikuwa sahihi Kwenu Malaria 2 na THE BIG SHOW 😁
  5. Bubu Msemaovyo

    Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

    Hela ni kitu cha ajabu sana Mfalme wa Saudi Arabia kaingia msikitini katinga viatu kama kawaida. Vijana tafuteni hela ona hiyo.
  6. mshale21

    Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  7. Kekule Wa Benzene Ring

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisemvule njia panda ya Kibamba Msikitini

    Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
  8. M

    Ndugu yangu Bakhressa fedha unazomwaga kwa ajili ya Azam Sports Club Peleka msikitini na kwa maskini, utanishukuru

    Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako. Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
  9. comrade_kipepe

    Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  10. Stability

    Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

    Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli" Mengine nawaachia
  11. Chizi Maarifa

    Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

    Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
  12. M

    Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

    Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na...
  13. T

    Kwanini bidhaa nyingi zinaandikwa neno halal kwa lugha ya kiarabu na imechorwa msikitini kwani nchi yetu ni ya kiarabu? Au nchi yetu ni ya kidini?

    Yaani kwa bidhaa nyingi sana naziona zimeandikwa halal kwa lugha ya kiarabu na huku umechorwa msikiti kwa maana kwamba nchi hii ni ya kidini na ya kiarabu au nchi hii imeuzwa kwa waarabu mbona hata sielewi au nyingi wenzangu hamjawahi kukutana nazo? Ila bidhaa za nguruwe sijawahi kuona kabisa...
  14. Pfizer

    Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI YA MAADILI WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI JUNI 18, 2024. ‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’ Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha...
  15. Nyafwili

    Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

    Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja. Tujiepushe na mihemko isiyo na tija na badala yake tufikirie suluhisho zinazojenga na kuheshimu...
  16. JanguKamaJangu

    Burkina Faso: Zaidi ya Watu 10 wauawa katika shambulio msikitini

    Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni mwendelezo wa machafuko yanayotokea Burkina Faso. Inadaiwa waliofanya shambulizi ni sehemu ya Makundi ya...
  17. GENTAMYCINE

    Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  18. M

    Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  19. Determinantor

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  20. TODAYS

    Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
Back
Top Bottom