Salam.
Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).?
KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia,
Alieitisha maandamano hajatumia gharama yeyote..
Amani iwe nanyi.