Thierry Henry: Mbappe ni mshindi wangu wa Ballon d'or

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,112
Thierry Henry amemtaja Kylian Mbappé wa Real Madrid kuwa Ananafasi Kubwa kushinda Tuzo ya Ballon d’Or 2026.

Akimzungumzia kwenye UCL Today (CBS Sports Golazo), alisema Messi angeshinda tuzo hiyo kama angeshinda Kombe la Dunia. Michael Olise “hayuko mbali,” lakini “Kylian ndiye chaguo langu.”

Sababu yake ni Mbappé alikuwa mfungaji bora wa Champions League, La Liga na Kombe la Dunia. Henry alikumbusha kuwa baadhi ya washindi wa zamani hawakuwa wameshinda kombe lolote mwaka huo na Wakabeba Hiyo Tuzo.
1788953930382.png
 
View attachment 3666651
Hiyo tuzo siku hizi imekaa kimagumashi,utashangaa anapewa Yamal😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom