waya waya inc
Member
- Feb 21, 2024
- 10
- 10
Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
Mkuu Ofisini kwako wamekuzingua unataka KIN
Nina issue natakaMkuu Ofisini kwako wamekuzingua unataka KINGA?
Kama unatafuta uganga hata mimi niko fiti, twende kazi.Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
Ok,atapita hapa hanaga tatizo,ni msikivu,atakusikiliza vizuri tuIla ni ushauri tu kidogo nataka kuhusu issue Fulani
🤣🤣Karibu nikusikilize kijana, id yangu nyingine nimeipumzisha.....
😂🤣😁😁Karibu nikusikilize kijana, id yangu nyingine nimeipumzisha.....
Kwa jamaa hiyo issue amini itaisha soon ukimpata !Nina issue nataka
UTAMPATA USIJALIIla ni ushauri tu kidogo nataka kuhusu issue Fulani
Namsuburi SanaOk,atapita hapa hanaga tatizo,ni msikivu,atakusikiliza vizuri tu