mshana

Mshana was an entertainment magazine based in Cape Town (with an editorial office in Sandton) aimed at South African urban youth.

View More On Wikipedia.org
  1. muhubiri mpya

    JamiiForums Tanzania Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema. Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Digba Sowey Vs Mshana Jr

    Kwa muda mrefu sasa hapa Jf kumekuwa na mpambano.mkali Sana wa hoja Kati ya digba sowey na Mshana Jr kuhusu masuala ya ulozi na Uchawi huku kila mmoja akijinasibu kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu taaluma ya ulozi kuliko mwenzake. Tusiandikie mate wakati wino upo, Jesus is Here, John the...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana. Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia. Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
  4. kibla matata

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niache tabia ya kujitenga na watu?

    Habari za mida hii wapendwa Mimi ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili. Katika makuzi yangu tokea Primary School nilikuwa naishi kwa style fulani ya kujitenga tenga na wenzangu. Ikafika kipindi wenzangu niliokuwa nikisoma nao shule wakawa wananiita mimi mchawi. Kwa mfano labda...
Back
Top Bottom