mshana jr

  1. Chosen Rich

    Je, AI itatusaidia au itachukua nafasi zetu?

    Humu mpo magenius, Watu mliojawa maarifa na hekima, Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo mbali mbalimbali Note: Majibu na hoja yazingatie mantiki
  2. FORBIDDEN HISTORY

    Ni muda muafaka wa kupokea ushuhuda kuhusu ule uzi wa tiba ya chumvi ya mawe wa Mshana Jr

    Either kama ulifanya hivyo kwa kupitia maelekezo ya Mshana Jr or wewe mwenyewe kuwahi kufanya binafsi. Karibuni.
  3. Kiranja Mkuu

    Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

    Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine...
  4. BIG BROTHER ALEX

    Nataka kuanzisha nchi yangu United Kingdom of Alex (UKA)

    Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state No siasa, itaendeshwa kifalme. Jiografia ya...
  5. senkoP

    Wachawi

    Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
  6. SILLENT KILLER 2

    Leo naoa, karibuni sana Wakuu

    Wakuu habr za siku nyingi mimi kama mimi sillent killer 2 kijana peace leo naoa.bdo umri wangu wakawaida (21) sana lakini kutokana na majukumu nimeamua kuvuta jiko mapema.Mungu bless my family and all around me....
  7. K

    Utumwa unavyoendelea kutuumiza waafrika

    WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
  8. Cleverman324

    Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
  9. Sifi Leo

    Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

    Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old, Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni, Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna. Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
  10. B

    Naona 'Kenge' Wameanza Kujitambua

    Habari wana jukwaa. Ni matarajio yangu kuwa mnaendelea vyema. Leo katika kufuatilia kwangu kile kinachoendelea kwenye harakati za kuwapata wabunge na madiwani ndani ya chama tawala, nimefurahishwa na baadhi ya wananchi wa baadhi ya maeneo hapa kwa jinsi wanavyoonesha 'reaction' kwa waliokuwa...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mzee wa Nature Mshana jr hii ni nini na inapatikana wapi?

    Nimeitoa fb huko kwakweli sijaelewa kama ni uyoga au sijui nn😂😂 Mshana Jr
  12. Kiranja Mkuu

    Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

    Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
  13. shamzugi

    Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  14. Mr Beach Boy

    Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  15. G.T.L

    PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025. Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
  16. O

    Kutokea Dar to Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha

    Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado Nategemea michango yenu wakuu
  17. Mr Beach Boy

    Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  18. T

    Injinia iga kwa huyu mbunifu

    Tiktok inatuwezesha tufahamiane. Inafununua uwezo wa binadamu bila mipaka, anadhihirisha na kubainisha uwezo halisi na kuchuja propaganda. Injinia huyu ni kielelezo cha uwezo wa vijana wa kiafrika. Huyu anadhihirisha waafrika wakiamua wataunda kila kitu.
  19. T

    Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Habari wakuu Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
  20. T

    Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana. Lakini pia...
Back
Top Bottom