mshahara

  1. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Housegirl alipwe Mshahara wa elfu 80 hadi laki 3

    Shirika la kutetea haki za Wafanyakazi wa majumbani la Wote Sawa chini ya Mkurugenzi Mtendaji wake Angela Benedicto, limesema Serikali imetoa tangazo ambalo utekelezaji wake umeshaanza ambalo linamtaka mwajiri aliyeajiri mfanyanyakazi wa nyumbani (house girl) na haishi kwako, umlipe mshahara wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya MsingiNGAZI YA MSHAHARA: TGTS CKITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vi

    ELIMU: Elimu ya Msingi NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana. KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni) MAWASILIANO: 📞 0620282169...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wafanyakazi wa TAZARA baada ya mwaka kupita bila marurupu na baadhi yao mishahara

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunaomba utusikilize sisi wafanyakazi wa Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) upande wa Tanzania. Takribani mwaka sasa hatujalipwa baadhi ya stahiki zetu muhimu, ikiwemo mshahara wa mwezi wa nne mwaka 2025, allowance za miezi ya 8, 9 na 10 ya mwaka...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Dereva Arusha: Unafanya kazi ya Kanisa mshahara ni Haleluya

    Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwenye mshahara wako ukisave kila mwezi 700k unabakiwa na tsh ngapi?

    Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana. Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Kampuni ya Lake Lubes ya Kigamboni, Vijibweni tunalipwa chini ya kiwango

    Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi kabisa. Mfano, kampuni ninayofanyia kazi—Lake Lubes iliyopo Kigamboni, Vijibweni—hadi leo hawajaongeza...
  9. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

    Wakuu na wasilimu sana ! Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa). Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli...
  10. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Watumishi Wapya VETA: Miezi 2 Bila Kazi Wala Mshahara

    VETA Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa kusubiri maelekezo ya kupangiwa vituo vya kazi. Hata hivyo, hadi sasa zimepita takribani miezi miwili...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TANESCO Kazi Maalumu – Katavi tunacheleweshewa sana mshahara

    Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya kucheleweshewa mishahara. Tunapaswa kulipwa kila baada ya siku 10 lakini inapita hata mwezi bila...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kutopewa mshahara Kwa wakati

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi katika taasisis moja wapo inaratibiwa na HJFMRI hawa wamechelewesha mshahara , Mshahara wetu WA mwezi wa nne mpaka Leo hatujapata na tukijaribu kuuliza halmashauri ya mbeya inajibu payroll yetu ishawasilisha je hii ni haki , na kazi bado tunaendelea kufanya pasipo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  14. W

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

    "Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu zangu mtanisamehe Taifa kwanza udugu baadae..."- Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale...
  15. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tumaini Nyamhoka (Rais TUCTA) wafanyakazi wa wapi walikutuma ukaseme hawataki nyongeza ya mshahara mwaka huu?

    Akihutubia wafanyakazi waliojitokeza kwenye kilele cha sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) Rais Samia amesema mwaka huu TUCTA hawakwenda na madai ya mshahara mpya na viongozi wao walimwambia Rais "mwaka Jana ulikuwa na kazi nzito ya uchaguzi na pia miundombinu imeharibiwa na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini ulipogundua mshahara hautoshi tena kukidhi mahitaji yako?

    Najua wengi ni wahanga. Weekend karibuni Tujadili hii mada ulifanyaje ulipoona mshahara hautoshi tena na mahitaji ya lazima, madeni yameongezeka. Hii kada kwa ajili ya waajiliwa mshahara umetoka unajikuta ulichopokea lazima kiende kwenye. 1. CHAKULA hapa ni zaidi ya nusu ya mshahara ulionao...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

    Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili Miaka 25 Elimu shahada Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha??? Ahsante
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP – Geita hatujalipwa mshahara toka Januari 2026

    Wafanyakazi wa mkataba wa Shirika la ICAP hatujalipwa mshahara toka Januari 2026, tumeulizia kwa RACC kiongozi mratibu wa Afua ya UKIMWI Mkoa lakini hatupewi majibu sahihi kila siku anatuzungusha. ICAP ni International Center for AIDS Care and Treatment Programs kwa Geita na Mwanza ila kwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa UDART utulipe Wafanyakazi ‘Overtime’ zetu, pia tunahitaji nyongeza ya mshahara, hali yetu ni mbaya

    Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi jijini Dar es Salaam, ulianza kwa mafanikio makubwa na mapato mengi. Hata hivyo, hali ilibadilika baada ya viongozi wa juu kuzidisha "michezo yao" kisha wanatumia Wafanyakazi wa vituoni kama "mbuzi wa kafara." Hakuna mfanyakazi wa kituo anayeweza kuiba Sh 100,000...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Customer service Agent-Swissport tanzania

    Nani anajua range ya Mshahara kwa kampuni tajwa ....Kwa nafasi hyo..wenye uzoefu..?
Back
Top Bottom