Kupitia kuajiriwa nimeshakata tamaa kumiliki gari la ndoto yangu kama Ford Ranger au Toyota Hilux, au hata zote kwa pamoja. Kwa mshahara ninaoupata, ndoto hiyo kwa kweli inaonekana haiwezekani kutimia.
Sijui nifanye nini. Hata kupitia madokezo, extra duty au per diem, bado naona haiwezi...
JE,INAWEZEKANA KUJENGA UTAJIRI WA VIZAZI KWA MSHAHARA WA SERIKALI?.
Ndiyo! Inawezekana kabisa. Hapa, tunaamini kujenga utajiri hakutegemei pekee ukubwa wa mshahara unaoingiza mwisho wa mwezi,bali nidhamu yako ya kifedha, mipango ya muda mrefu na mkakati thabiti wa kuwekeza.
Hebu tuangalie...
Habarini wanajukwaa?
Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na madereva...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva.
Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Habari wakuu.
Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana.
Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
Habari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote.
Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na...
Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri kufahamu viwango hivi ili kuhakikisha haki na wajibu vinatekelezwa kwa mujibu wa sheria.
Hapa kuna...
Umefungua Baa yako kubwa tu, umemweka meneja au msaidizi na unamlipa mshahaa alioridhia lakini na yeye anaanza kuja na makreti yake, wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, vyako vinakuanya vumbi tu.
Unafungua duka la hardware wayeja wanafika wanahitaji mifuko 100, msaidizi anaiuza na anapiga...
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.
Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi...
Hesabu 35:33. "Hivi hamtaitia najisi nchi ambayo mnakaa;kwakuwa damu huitia nchi unajisi;wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi;kwa ajili ya damu iliyomwagika ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo aliyemwaga"...
Wakuu, nimepata kazi! 🎉
Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.”
Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji.
Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
Anonymous
Thread
bado
bunda
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
hawajalipwa
julai
kujikimu
kwanza
mji
mshahara
watumishi
Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna.
Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki.
Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana inaua walipakodi ikiamini haina haja nao.
TEC na watu wote wapumbavu walitaka jeshi la polisi liache vijana huru kuanzia ile tarehe 29 September mpaka pale ambapo ofisi zote za umma Dar es salaam zingekuwa majivu.
Walitaka polisi wawaache vijana wawe huru kupita nyumba za wana CCM na watumishi wa umma wote pamoja na maaskari na kuwaua...
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo.
Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija.
Tatizo bado sijajua ni nini haswa lakn hii kada ndo inaongoza kwa vilaza, yan watu ambao hawajui lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.