"Serikali inawaomba wananchi wote kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi huu unafanyika na baada ya uchunguzi kukamilika watajulishwa. Aidha, Baraza linawashukuru na kuwapongeza wote waliohusika katika uokozi baada ya ajali hii kutokea" @MsigwaGerson
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo ya Serikali katika mkutano na waandishi wa habari leo Juni 12, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi za Idara ya Habari-MAELEZO, Dodoma.
MSIGWA...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:
Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili
Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
GERSON MSIGWA AJIUZULU
Ndugu zangu waandishi wa habari, kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito wangu na kufika hapa leo. Nimewaita kwa jambo moja tu ambalo niliona haitakuwa sawasawa likiachwa na kupita hivi hivi.
Kabla sijalitaja jambo hilo naomba niseme mapema kuwa ninazungumza katika mkutano...
YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021 DODOMA.
# Kuna baadhi ya maeneo yamepata changamoto ya kukatika kwa umeme, ni kwa sababu ya kazi...
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili asubuhi hii.
1. Taarifa ya wiki kutoka Serikalini
2. Majibu ya maswali yenu
3. Maoni na ushauri...
Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.
Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021.
1. BEI YA MAFUTA.
Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111
Usikose...
Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu.
Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia.
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi?
Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo?
Ni makusudi au?