Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa.
Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba huyo maisha yake yote si ya uhalisia hata kidogo pale Chadema. Muda wote yeye ni mnafiki na mfitini...
Huyu jamaa naona anapania sana kwenye nyimbo zake kuna moja ya mistari yake unasema
"vishavu vimeanza kunona kitambi ndo hiki sasa ona nanenepa nanenepa na nami nimempata chioma"
Bwana mbosso huu wimbo umeniimbia mimi kabisa 🤣🤣🤣
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
MSANII RICHARD MANGOUSTINO ENZI ZA UBORA WAKE KUPITIA TUNGO NA USHAIRI WAKE .
wachache sana wanaomjua msanii huyu aliyefahamika kwa jina lake Richard Mangoustino .
Enzi hizo msanii huyu Richard mangoustino alikuwa ni Mwalimu wa muziki katika nyumba ya kukuzia vipaji hapa nchini nya THT ...
Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu
Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza kwa mfano kushawishiwa na Diamond t ambaye ana influence kubwa kwenda kuiona timu yao ikisambaza Gusa...
Huu wimbo wa Mwanajua unapatikana Katika Album yake ya The Verteller, ndani ya huu wimbo kunamistali ambayo dizasta ananukiluliwa akisema
."walimwita mwanajua maana alijua yvote,,
hakwenda shule ila aliheshimika ka mwalimu,,
hata watoto walimpenda walifanya sherehe tuiobalehe alipopita...
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?
Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo.
Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani.
Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha.
Katoa album kali sana sijui mara ya...
Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF.
Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge.
Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu.
Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi
Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini
Huyu...
Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny.
Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya...
Niko underground ndani ya town sina papara/ full mkoba taratibu ndani ya msafara/ usilete mkwara ipo siku nitatawala/ wakati umefika nimekita kama namadala / kenge wengine wote mi nawaona mafala/ night kisa Bongo ,Visiwani mpaka Bara/ nimekuwa kinara kila kitengo mi nang'ara/ Mc kichwa ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.