Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama,
Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.
Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?
Zoezi hili liende nchi nzima...
Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria.
Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
Jeshi la Polisi jijini Nairobi limewakamata takribani washukiwa 300 katika msako mkubwa wa kuwakabili wezi wa mitaani na uhalifu wa usiku unaoendelea kushamiri katika eneo la katikati ya jiji (CBD). Operesheni hiyo, iliyofanyika kwa siku kadhaa, imelenga maeneo yanayojulikana kwa matukio ya...
Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
Nawaza tu kwa sauti
Ofisi za Jf zimevamiwa je lengo lao ni nini? Na je wataishia apo au wataendelea
Mfano ukatokea msako maofisini au kwenye kambi n.k zinakusanywa simu zote gafla bila kutarajia unaambiwa utoe password alafu waangalie Jf id yako utatoboa kweli? Au ndo bora wakuue kuliko kutoa...
Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
Wakuu wenye uzoefu hivi ukifuga fisi unakuwa unamfanyia nini? Yani anakuwa kama mbwa au?
===
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga, ametangaza msako mkali wa fisi baada ya tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa kondoo 21 katika Mtaa wa Mahina. Amesema uchunguzi unaendelea kubaini kama kweli...
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
“Natoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya Jumatatu tutafanya msako nyumba kwa nyumba, lengo ni kuhakikisha Ndoto za Mheshimiwa Rais zinatimia...
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri
Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa
Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii
Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
Leo alhamisi ndiyo mwisho wa matumizi ya namba za magari zenye uwezo wa 3D na kuanzia kesho ijumaa Jeshi la polisi Tanzania limetangaza kuanza msako mkali kwa wote ambao wameshindwa kuzitoa namba hizo za 3D kwenye magari yao.
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani awali kilitoa muda wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo:
Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ya JWTZ kusema litafanya msako kwenye nyumba za wananchi kutafuta wenye mavazi yanayofanana na za kwako. JWTZ hawajasema kama kuna mali zao zilizoibwa, hivyo hizo wanazotaka kutafuta ni za nani?
Kama kuna yanayomilikiwa na watu yanayofanana na za kwako, nani...
Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia.
Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.