Mwa 2:18
BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mk 10:8
na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
Kila mtu ana maamuzi yake na mtazamo wake na mapenzi yake na uhuru katika kufanya mambo yake bila...
Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula
Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
Kutoka Makumbusho ya Taifa
Kabla ya vita vya Majimaji na kufahamika kwa mashujaa mbalimbali katika mji huu wa Songea eneo hili lilikuwa linafahamika kama mji wa Ndonde, jina hili la ndonde limetokana na kabila la watu walioishi mwanzoni kabla ya ujio wa wangoni katika eneo hili waliofahamika...
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
Mwenye hits zozote kuhusu written ya interview kuhusu kada tajwa hapo juu tunaomba uje hapa ikiwezekana kama tutakuwa wengi tuanzshe ata group whatsapp nipo tayari, Asanteni..!!
Huyu mzee anajua kilemba chake sasa ndio kimebaki baada ya manyuklia kusambaratishwa, ameingia mitini, anaongea kwa kupitia msaidizi, hataki kuwahishwa kwenda kwa mabikira.
Hezbollah supporters organize a demonstration in support of Iran as it continues its mutual attacks with Israel, in...
Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao.
Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo.
Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae.
Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe
kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo.
Unajitahidi wanao basi wasipate shida. Unajitesa kuweka mambo sawa ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada wa kazi ampe vitu na huku...
Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi.
Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amempatia zawadi ya pikipiki mpya aina ya SAN LG Msaidizi wake wa Ofisi (PS) Florenciana Kagya, kutoka na kazi nzuri anayofanya na kujituma katika ofisi yake.
Kihongosi amesema kuwa ameamua kutumia mshahara wake kumnunulia msaidizi wake huyo zawadi ya...
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.