msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada simu za tigo

    Wadau naomba ushauri kati ya simu hizi mbili zinazouzwa kwenye maduka ya tigo IPI ni nzuri Energizer u652 na ZTE a35 ninataka kuchukua mojawapo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

    Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na kinachotambulika na TCU. Napokea pia ushauri wa kozi nzuri za Afya ambazo mtu anaweza kusoma kwa njia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada majina mawili kwenye Academic Certificates na kitamburisho

    Hello, Naomba mnisaidie ambao mmeudhuria interview za utumishi. Kwenye vyeti vya form four, six, chuo na Cha kuzaliwa natumia majina mawili tu (AMANI FOCUS) Kwanye kitamburisho Cha mpiga kura uwa wanalazimisha ujiandikishe Kwa majina matatu. Sasa ukitumia kitambulisho Cha NIDA, au Cha mpiga...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Habari za kazi wataalamu wa Afya. Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza. Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa. Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

    Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi). Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat. Namba zangu ni 0654102984.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na tigo post Paid

    Wakuu kwema , Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu. Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine. Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Wakuu habari za Leo. Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme. Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
  9. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kukipata kifaa hiki

    Habari ya majukum wakuu? Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kifaa hiki?

    Habari ya majukum wakuu?. Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki? Kinauzwaje? Mi napatikana Iringa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: nahitaji router ya kuweza kuwabana watumiaji kwenye speed na MB.

    Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kufundishwa ku-bet basketball

    Msaada wa kufundishwa ku-bet basketball
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kanionyesha jipu lake lililomuota kwenye paja; naomba msaada wa mawazo!

    Nimepigwa na bumbuwazi wadau! Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kuifahamu kikosa morogoro kiundani

    Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia. Kodi ya chumba ni bei ghani kule?? Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni?? Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko?? Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ananihudumia, nimeenda kuoa sijui nimwambiaje!

    Nipo kwenye mahusiano na huyu Dada kwa mwaka mmoja na nusu sasa. Hatuishi pamoja lakini muda mwingi nipo kwake, ananihudumia kwa kila kitu. Mimi nafanya kazi lakini kipato changu ni kidogo sana siwezi kuhudumia mwanamke nayeye anajua. Amenilipia kodi kwenye nyumba nzuri, kaninunulia Pikipiki na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajitika!

    Natumai Ni wazima nyote humu jamvini. Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu. Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuongeza confidence na kujiamini

    Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
  20. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…