msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA TUTANI

    Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28 Maths F English F Kiswahili C History C Geography D Biology D Civics D Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kupunguza page kwenye Pdf

    Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
  3. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  6. JamiiForums Tanzania Hawakuweza kupata mtoto lakini kwa imani ya Mungu kupitia msaada wa mchungaji, baraka zilikuja.

  7. JamiiForums Tanzania Msaada anae weza tambua hizi code

    Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na idea hizi code zimeenda 15711 kwa ajili ya nini.? Nimelazimika ku crop screenshot sije nikawa nna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la Halotel Mobile Wife mFi_0428F2

    Habari wana jukwaa. Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo. Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim. Wakati mwingine ukiiwasha...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

    Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi. Duru.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

    Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wajuzi wa simu na telegram

    Kuna kitu nataka kuangalia hapa sasa inaonyesha ivi kama unajua nielekeze hapa au kama hapa uwezo pm iko wazi msaada
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu tafadhali,

    Habari za mda huu,. Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu... Nimeweza kurudisha contacts...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  14. JamiiForums Tanzania Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

    Habari zenu. Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili. Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu. Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini. Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi. Kama...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani ..Naomba Mnishauri

    Habari , Hope mko poa Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ? Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WENZANGU NAOMBENI MSAADA WENU

    Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani. Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee Nina camera canon D 550 Studio picture background yenye vitambaa vinne na taaa Na boon mic Panasonic Vyote naitaji laki 9 tu...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa ku update simu

    Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
  19. JamiiForums Tanzania Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo?

    Habari wakuu Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka mtu anichukulie aende na power of attorney na karatasi ya clearance halafu atakuja nacho Marekani...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia. Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…