Habari za muda huu wakuu,
Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno.
Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...