msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
  2. Msaada wa soft coppy ya kitabu cha "stop lying to yourself" by Simon Gilham.

    Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
  3. Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
  4. Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  5. A

    Msaada wa tiba ya vipele tumboni

    Kuna vipele vimetokea sehemu ya tumbo kwa pembeni kila nikijikuna vinaongezeka.
  6. M

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  7. Msaada kwa wanaoijua vizuri Microsoft Word

    Naomba mnisiadie hii font ni ipi kwenye Microsoft Word? Nahitaji jina la font kwa wenye experience. Shukrani
  8. M

    Msaada, Majibu ya vipimo vya mkojo PROTEIN +,KETONES + ni ishara ya kitu gani mwilini

    Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ . Wakamuandikia dawa akinywa anakua...
  9. B

    Msaada

    Habari Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au speed yake iko chini
  10. S

    Changamoto kwenye facebook account yangu

    Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na...
  11. K

    Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  12. Msaada juu ya kufungua kampuni inayojihusisha na kutoa huduma mbali mbali (GENERAL DEALERS)

    Wakuu Mungu katupa uzima tumeuanza mwaka salama ni jambo la kumshukuru. Naomba nijikite kwenye mada nahitaji elimu juu ya kufungua kampuni inayo jihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali kwenye jamii. Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni hiyo sina ujuzi wala elimu kuhusu uendeshaji wa...
  13. Naomba kuuliza kwa anayefahamu

    Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu. Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...
  14. J

    Hi kitu ni ya kweli msaada wakuu gwec investment

    Kwa yeyote mwenye uwelewa na gwec investment vio kwamba hii project yao ni ya kwel ama ni utapeli
  15. Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  16. Msaada: Nashindwa kuingia kwenye Akaunti yangu ya Instagram

    Habarini. Naomba Msaada Nilingia Akaunti ya Instagram nambiwa hivi.
  17. Msaada wa mawazo wakuu

    Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na...
  18. Msaada Naomba Data recovery

    Wakuu Naomba mwenye software ya kurejesha data ( Data recovery software) Windows 10 64 bit Natanguliza shukrani kwenu.
  19. M

    Wenyeji wa Dar msaada wenu

    Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi. NB: Mimi ni mgeni Dar es salaam na naelekea Zanzibar. Kwasasa nipo kwenye Basi.
  20. Umeathirika na betting? Huu hapa msaada

    Utegemezi wa Kamari ya Michezo Kamari ya michezo ni kitu ambacho kinapaswa kubaki kuwa uzoefu wa kufurahisha badala ya kuathiri maisha yako kwa njia kubwa. B Media imedhamiria kusaidia mamlaka zinazosaidia watu kupigana na uraibu wa kamari ya michezo. Katika ukurasa huu, utapata taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…