Wakuu habari zenu.
Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa.
Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...