Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada.
Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa...