msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura mtoto 2yr anajoto kali sana mwili mzima amechemka sana

    Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
  3. JamiiForums Tanzania Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

    Salaam wakuu. Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa. Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara. Natanguliza shukran.
  5. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

    Wakuu habari Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge Nataka kukata passport ya kusafiria Swali langu je Fingerprint Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani? Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

    Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi. Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

    Habarini, Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au? Ahsante
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  10. JamiiForums Tanzania Mimba zinatoka tu msaada pls?!

    Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020 Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika Yani hii ya pili sasa inaharibika N:B ipo hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Cheti cha ndoa kina msaada kugawana mali tukiachana??

    Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka. Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao. Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
  12. JamiiForums Tanzania CUSNA Investment Limited yatoa msaada wa magongo 100 MOI

    Kampuni ya CUSNA Investment Limited imetoa msaada wa magongo 100 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusaidia makundi mbali mbali ya wahitaji. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya msaada huo jana Februari 10, 2026, kwa niaba ya Mkurugenzi wa kampuni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kusimamia tawi la biashara iliyombali km40

    Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada WiFi haiungi kwenye Laptop yangu..

    Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle. Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote zimeunga fresh tu. Wifi zingine za ofisini zote naziona lakini hii tulionunua peke yangu ndio siioni...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa vitabu

    mwenye softcopy za hivi vitabu naomba anisaidie. -To kill a mockingbird -Mindset -Outliers -Gravity's rainbow -The lord of the rings -Wings of fire -How to win friends & influence people -The monk who sold his ferrari -The power of habit -The obstacle in the way -The turtle theory -The alchemist
  20. JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…