UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo.
2. Ndio maana maisha yetu...
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe.
Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake.
A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
habari wakuu poleni na mjukumu.
Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato.
Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani.
Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza.
naombeni msaada...
Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Habari.
Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu??
Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu?
Msaada.
Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa.
Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;
1.Uharaka katika kufanya malipo.
2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika.
3.Usaidizi wakati wa kuegesha
4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
Habari za leo wakuu
Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita
Na namna ya kuiset
Nawasilisha
Merry christmass
Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
Mzuka wanajamvi!
Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa.
Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema.
Mungu wabariki bodaboda.
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;
Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'
Mimi ndiyo naanza kujifunza'
Maisha ni sanaa na kuishi ni maigizo tu. Dunia hii tunapita nyie mlioko maofisini kama mnaweza saidieni watu wanaoomba Msaada kwenu.Ilikuwa hivi jamaa nilikutana nae miaka mitatu nyuma mwaka 2022, ofisini kwa DC kwa yule Dada ambaye sasa hivi ni Don kule kwenye Chama cha kijani kibichi upande wa...
Nina Uhitaji wa mashine hii.
Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua.
Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5.
Mawasiliano yangu,
0621436829
Dsm
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology .
Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.