Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye...
Habari ya siku ya leo wana Jamvi natumai wote ni wazima wa afya..kwa upande wangu sipo vizuri sanaa nipo kitandani siku ya 3 sasa afya kidgo changamoto,katika haya maisha ukiwa na afya njema basi wewe ni Tajiri sana hivyo tujifunze kushukuru,basi twende moja kwa moja kwenye lengo..mwaka 2021 na...
Natumai wote mko salama.
Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye aliniahidi kutuma game pamoja na simu Tulizungumza kwa muda, akanivuta kwa uaminifu na hatimaye nikatuma...
Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila...
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Moshi Jonathan Kabengwe, amesema majina ya Waombaji wa ajira 1,596 zilizotangazwa na TRA hivi karibuni yatatangazwa rasmi kesho March 22 2025 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) kwa ajili ya usaili wa kuandika...
Baada ya miezi miwili na ushee ya kupost mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa jukwaa la makazi na ujenzi na kidogo ujasiriamali.. Hatimaye picha zimeanza kupungua sasa
Dhima ya hizi mada ilikuwa kuamshq udadisi, kuchagiza ubunifu na kusherehesha sanaa ya ubunifu kwenye majukwaa...
Wapwa habari ya jion boss mkubwa majizzo amatoa sound zake zinaitwa jizo sound nimesikia zimeanza kuuzwa pale palm village
Je Kwa mliotembelea shop pale vipi Bei yake ipoje na pia sound yake ipo vipi
Jizo sound speark kama zitakuwa na mfumo mzuri wa hi Fi basi anaweza pindua soko la sound speaker
Kiukweli ningefanya maamuzi ya kukurupuka, huwenda kwa sasa ningekua na adui moyoni ambaye kala vya kwangu na kukimbia..
https://www.jamiiforums.com/threads/msaada-wa-mbinu-ya-kuluka-mtego.2287176/
Baada ya washauri kuniambia ni achane na huyo pasua kichwa hakupendi, basi nikaamua kufunga...
Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa naendesha na nlipotulia wakanipigia (zaidi ya mara6)
Mrejesho ni kuwa: eneo langu limejaa na hivyo...
Naam ni kuhusu yule Bi.mkubwa ambaye wengi mlinitia moyo kwamba nimvagae....walahi najuuuuta sijui kwa nini nilimtamani.....Kama nilivyowaeleza awali huyu tupo nae Kanisa moja.....na kule Kanisani maneno yamesha sambaa nadhani hata baba Mchungaji stori itakuwa ishamfikia
Mambo si mambo kuna...
Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia!
Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano!
Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka,
Tabia za kihisia (Moody)...
Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta.
nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa sasa hivi baada kutoka kwenye yale mahusiano magumu ambayo nilikuwa nayo hapo awali Sina budi...
Habari za muda huu wakuu,
Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi)
Kwa muda wa miezi miwili sasa...
Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia nilienda hospitali nikapata tiba nilisafishwa uchafu wote na sasa naendelea vizuri haswa mazoezi nafanya vizuriii humu kuna watu wema sana nashindwa kuwalipa kwa mtu yeyote alietoa msaada wake kunisaidia ila naamin mungu...
Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
Kwanza mimi ni mzee wa 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s
Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji.
Wenzangu hali ikoje?
Magonjwa kama
Pressure
Sukari
Kuishiwa nguvu za kiume
Kanza tezi dume
Nk
Ni...