mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  2. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  3. Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  4. W

    Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    Ndugu zangu, Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali. Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio. Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje...
  5. R

    Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia. Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu. Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo...
  6. Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  7. Jinsi ya kupaka marashi (perfume): Siri 8 za kufanya harufu ya marashi idumu kwa muda mrefu

    Moja kwa mbili kwenye mada: 1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA: Kwa nini? *Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla hayajatulia kwenye ngozi na kujichanganya na mafuta asilia ya ngozi (skin oils). *Kuyatawanya kwa...
  8. TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha...
  9. Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  10. Mapenzi yawe ni ya muda maalumu tu ili kuepusha mateso ya kihisia ya muda mrefu

    Ushahidi unaonesha kuwa hata mapenzi yaanze kwa nguvu kubwa kiasi gani lakini bado kamwe hayatodumu na kubaki na nguvu hiyo hiyo kwa muda wote. Inapotokea Wawili wamependana basi waingie makubaliano rasmi, kwa mfano wakubaliane kwamba wanahitaji uhusiano wao huo udumu kwa muda gani na iwapo...
  11. Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
  12. Mbowe ukituongopea sisi wanadamu Mungu anayajua matendo yako unayoyapata kwa sasa ni Karma ya kuwadanganya watu kwa muda mrefu toka hadharani utubu ut

    Freeman Alkael Mbowe wewe ni binadamu na binadamu tumeumbwa kukosea ukweli ndio utakutesa kuliko uongo Moyo wako unajua Nia yako uliyodhamiria kuitendea hii nchi Kuna mengi mazuri umeyafanya yakaonekana kwa macho lkn Kuna mengi mabaya zaidi umeyafanya nyuma ya pazia na hili la kutenda ugaidi...
  13. Madhara ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu ndio haya. Wenye nchi chukueni hatua

    Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini. Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
  14. I

    Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Habarini wakuu, Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki. Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha ya tendo inapungua yaan utamu wa siku za nyuma haupo tena sikuhzi. Hivi hii ishawahi kuwakuta...
  15. Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

    "Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako. Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi...
  16. Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

    Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll. Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
  17. M

    Rais Samia huenda akatawala kwa muda mrefu kama Nyerere

    Mwalimu Nyerere alitawala kwa miaka 24 (1961-1985). Kwa mujibu wa katiba ya sasa iwapo rais Samia atatawala kwa katiba ya sasa bila kuibadili, anaweza kutawala kwa muda wa miaka 9, Lakini akileta katiba mpya kabla ya mwaka 2030, maana yake ataanza upyaaa kwa katiba mpya, na hatofungwa na...
  18. M

    Usalama wa vyakula kukaa muda mrefu kwenye Friji

    Niko single. Mwanzoni mwa mwezi huwa nachemsha kilo mbili za maharage. Yakisha poa nayaweka kwenye Friji. Sasa huwa nachota kidogo nakaanga, nasonga ugali, siku imepita. Kwa mtimdo huu harage hilo huwa linadumu mwezi mzima. Je, wadau hii ni salama kwa afya?
  19. S

    Sijawahi kuona mchawi mrefu

    Nawaonaga tu watu wafupi sijawahi kuona mchawi mrefu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…