Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.
Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...