mrefu sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) tuna mazingira magumu ya kazi na maslahi duni

    Tunapenda kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), ambazo zimekuwa na athari katika ustawi wa watumishi, morali ya kazi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Wakala. 1. Kutolipwa kwa Stahiki za Likizo Baadhi ya watumishi hawajalipwa stahiki zao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muda mrefu sana Sumaye hajaonekana hadharani wala kusikika, kulikoni?

    Sio kwenye matukio ya kijamii, kisiasa wala kidini, Sumaye hajaonekana wala kusikika. Hatukuwahi kuzoea hivyo kwake. Kulikoni?
  7. JamiiForums Tanzania Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

    nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
  8. JamiiForums Tanzania Israel imekuwa ikiimezea/itamani Iran muda mrefu sana. So whatever inachofanya sasa ilishajiandaa na kupiga hesabu

    Huu ushahidi wa mwezi wa 4 Waziri akisema atakuja ponda ponda kichwa cha nyoka baada ya kumaliza vidagaa vyake.
  9. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  10. JamiiForums Tanzania Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?

    Wakuu, Kwanini kuweka video Mtandao wa X (Twitter) kunachukua muda mrefu hata kama ni ndogo?
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hotel za Sinza ukilala unasikia kama vishindo vyumba vya pili n marekebisho ama?

    Umaweza shangaaa kama n mara ya kwanza. Ila najiuliza mbona n endelevu Wengine wanakimbia kuja kupimzisha kichwa wa enjoy watoe stress Ajabu ikifika saa saba mpaka 10 ama.11 asbh yaan unaskkia kulia vyumba vinapiga kishindo nkajua marekebisho Hee ¹ 11 mpaka moja asbh na sikia upande wa pili...
  15. JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

    Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
  16. JamiiForums Tanzania Itachukua muda mrefu sana kwa walimu kuweza kujisimamia na huenda isitokee kabisa!

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu. Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  18. JamiiForums Tanzania Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

    Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

    Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi. Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha. Lakini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

    Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…