mradi

  1. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  5. JamiiForums Tanzania Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka husika ziweke wazi malipo ya Washiriki wa Mradi wa Digital Tanzania, huu ni mradi mkubwa wa Kitaifa

    Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa โ€˜Digital Tanzaniaโ€™ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Aprtments hizi zineanza kuuzwa karibu utembelee mradi wetu

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  8. JamiiForums Tanzania Fine ya kuingilia mradi wa serikali(tanroads)

    Habari wana jukwaa, Hii iwafikie wanaojua sheria za Tanroads Naomba kuuliza wajuzi, hivi ikitokea kuna mradi wa ujenzi barabara njia imekuwa diverted na wewe ni mgeni eneo hilo kwa bahati mbaya ukapita ila ukashtuka haiko sawa ukaona ugeuze. Unafika mbele kidogo kuna mtu katufata chap kwa...
  9. JamiiForums Tanzania RC Chalamila awaita Wachina waliochelewesha mradi 'Wahuni'

    Wakuu, Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje? Mkisikiliza huko mwisho anasema: "Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zimamoto ni Huduma, Biashara au Mradi wa Kitapeli?

    Jeshi la Zimamoto lina jukumu la kuokoa maisha na mali. Lakini kwa muda sasa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya maafisa kujihusisha na utapeli na rushwa wakiwa na sare rasmi za zimamoto na wengine gari ya zimamoto ambayo ikitokea maafa ya kweli hilo gari hutoliona. Kuna tozo zisizo rasmi...
  13. JamiiForums Tanzania Basi tu ilimradi taflani

  14. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

    MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project. Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

    Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba azungumza na wananchi walioathiriwa na mvua Kilosa

    - Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani Morogoro ambao wameathirika na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Je, mradi wa SGR tulikurupuka kama taifa?

    This was a design and build project. Ni wazi, takwimu walizokusanya hazikutafsiriwa ipasavyo kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi. Over designing sio dhambi katika uhandisi Wali over design Kilosa kupita mto Mkondoa ndio maana kuna tunnels 4. Kidete kuna uzembe. Maana palijengwa bwawa la...
  18. JamiiForums Tanzania Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium. Lengo lilikuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ