mradi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni inayofanyakazi katika Mradi wa MSD haiingizi malipo ya NSSF kwa Wafanyakazi wake

    Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato. Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  3. JamiiForums Tanzania Oscar Wilde: Mwanaume anaweza kuwa na furaha akiwa na mwanamke yeyote mradi tu hampendi

    Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Majitaka Sinza: Kero na Uharibifu

    Habari, Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa. Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Pemba tuliathiriwa na Mradi wa Barabara ya Mtambile - Nanguji hatujalipwa fidia na hatuna pa kuishi

    Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS. Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

    Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa Kituo cha Umeme Mkata kuboresha upatikanaji wa Nishati

    Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi mara utakapokamilika.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bilioni 1.82 watembelewa na Mwenge Ubungo, DAWASA yapewa kongole

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetakiwa kuhakikisha inakamilisha miradi ya maji kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na huduma hiyo muhimu bila ucheleweshaji. Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, ndugu Wazo Mwang’onda, wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Bilionea Motsepe na ARC waondolewa kwenye kesi ya Tsh. Bilioni 505.7 ya Mradi wa Graphite wa Tanzania

    Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7) iliyofunguliwa na kampuni ya Marekani, Pula Group. Mahakama hiyo pia ilibainisha kuwa ARC haiwezi kubeba lawama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  12. JamiiForums Tanzania Rostam anunua kampuni inayoendesha mradi wa gesi ya Songo Songo

    Mfanyabiashara, Rostam Azizi kupitia kampuni yake ya Taifa Gas Tanzania Limited, kwa kushirikiana na Amber Energy Investment L.L.C-FZ, wameingia makubaliano ya kununua biashara ya gesi ya kampuni ya Orca Energy Group nchini Tanzania inayomiliki mradi wa Songo Songo. Kwa mujibu wa taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa mabasi maalumu kwa wanafunzi chini ya DART

    Kwa muda mrefu, wazazi wamekuwa wakiamka na presha za usafiri wa watoto wao—wakati mwingine mtoto anaondoka nyumbani akiwa na matumaini, anarudi na hadithi ya huzuni tupu. Hata hivyo, nyuma ya pongezi kuna maswali mazito yanayohitaji majibu ya wazi. Kwanza ni suala la usalama ndani ya mabasi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania Rostam kununua Nation ni mradi wa Ruto

    Nimemsikia na kumuona mfanyabiashara wa Tanzania, Rostam Aziz akitangaza kuinunua Kampuni ya Media ya Nation (NMG) ya Kenya. Amenunua hisa za familia ya Aghakhan zinazozidi asilimia 50. Kutokana na taratibu za biashara, Rostam saa ndiye mmiliki wa vyombo vyote vya habari vya NMG ambavyo viko...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Uranium inayopatikana Tanzania: Nashauri tuanzishe mradi wa Magari yanayotumia NYUKLIA

    Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power. Sisi tunajivunia rasilimali hii adhimu ya Uranium. Na shauri sasa ni wakati wanasayansi wetu wa COET, DIT...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mkandarasi aliyepewa mradi wa umwagiliaji Karatu na hajatekeleza, anyang'anywe pasipoti na ashikiliwe mpaka atapike pesa zetu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo wakati akiwa Karatu
  19. JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe aelekeza maafisa wanaosimamia Mradi wa Lishe kupatiwa usafiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza Maafisa Lishe na Maendeleo ya Jamii wanaosimamia utekelezaji wa Mradi Jumuishi wa Lishe katika Mkoa wa Geita, Tabora na Iringa kupatiwa vyombo vya usafiri ili waweze kwenda kutoa huduma kwenye maeneo yanayokabiliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…