mpya

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  2. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  3. JamiiForums Tanzania Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  4. JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA, KALI SANA – MIKOCHENI Location: Mikocheni Vyumba 3 vya kulala 2 Master Bedrooms Lift⚡ Generator Parking

    🏢✨ APARTMENT MPYA, KALI SANA – MIKOCHENI ✨🏢 📍 Location: Mikocheni 🛏️ Vyumba 3 vya kulala 🛌 2 Master Bedrooms 🛗 Lift ⚡ Generator 🚗 Parking ya kutosha ✅ 💰 Bei: TSH 3,500,000/= kwa mwezi 🔥 Apartment mpya, nzuri na yenye huduma muhimu kwa maisha ya kisasa. 📞 Wahi sasa kwa maelezo zaidi na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Makamu mpya wa Rais awe mkatoliki?

    Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia. Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo MWIGULU GWAJIMA PAUL MAKONDA RHIMO NYANSAHO
  7. JamiiForums Tanzania Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

    Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Content Creators Msijali”: Gavana Johnson Sakaja Afafanua Nani Hasa Atalipa Ada Mpya za Filming Nairobi

    Baada ya mjadala kuzuka kuhusu ada mpya za filming Nairobi, Gavana Johnson Sakaja amefafanua kuwa content creators wa kawaida, influencers na vijana wanaotengeneza video za social media sio walengwa wa ada hizo. Sakaja amesema Nairobi City County Finance Act, 2026 inalenga zaidi professional na...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh8,000 Kupiga Shoot Nairobi? Sheria Mpya Yazua Gumzo

    Sheria hiyo mpya imeweka ada ya KSh8,000 kwa kila commercial filming session ya local production, huku production teams kutoka nje zikitozwa KSh50,000. Music video production itagharimu KSh10,000, huku content creation studios zikitozwa KSh40,000 kwa mwaka. Influencers wanaoandaa monetised au...
  10. JamiiForums Tanzania Trend mpya ya vijana barabarani

    Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink. Ni Nini?
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaweka ada mpya za Harusi, Roadshow na matukio yenye kelele

    Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026. Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa JNHPP: Fursa Mpya za Maendeleo Tanzania

    Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
  13. JamiiForums Tanzania MEMBER MPYA WA JF

    Kwa majina naitwa Msukuma mzaliwa wa Chato jirani kabisa na kwa hayati JPM pia ni mwanachama hai wa CHAMA CHA MAPINDUZI chini ya Mwenyekiti wetu Pendwa na raisi kipenzi cha Watanzania mama Samia Suluhu Hassan....Naomba mnipokee🙏
  14. JamiiForums Tanzania Misimamo na yahusuyo Jamiiforums fantasy premier league kwa msimu mpya wa ligi kuu Uingereza (EPL) 2026/27 .

    Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z au autojoin kupitia https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Udukuzi wa WhatsApp na Jinsi ya Kujilinda (Mwongozo wa 2026)

    Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji. Haya ni mambo muhimu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndo nimejua ni kina nani wanazuia Katiba Mpya hadi Nchimbi akasema hadharani kwamba komaeni mpate Katiba Mpya

    Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030. Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
  17. JamiiForums Tanzania BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingia Hatua Mpya madini Tembo au Heavy minerals sands

    Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral Sands) nchini Tanzania. Serikali ina hisa 16% katika kampuni hiyo. Kwa sasa kuna miradi miwili...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, mpaka 2030 hatutakuwa na katiba mpya

    Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka? Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia...
  20. JamiiForums Tanzania Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…