mpya

  1. Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  2. T

    Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

    Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani. Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
  3. K

    Air Tanzania imepokea ndege mpya

    Ninaipongeza Air Tanzania kupokea ndege mpya. Hongereni sana. Napenda kuuliza tu hapo awali walisema kuwa ndege aina za MAX zilikuwa na matatizo katika uundwaji huko kiwandani. Je haya matatizo yamerekebishwa. Tukumbuke ile ya Ethiopia iliyopata ajali ilikuwa MAX 8. Kama haya matatizo...
  4. Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

    https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
  5. B

    Tahasusi mpya zakosolewa na Maprofesa wa lugha na Fasihi

    Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
  6. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera, Gratian Mkoba atangaza Vipaumbele 6, imo Katiba mpya na Kikotoo

    Siku moja baada ya kuchaguliwa uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera, bosi wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba amesema ataanza na mambo sita ikiwamo kuamsha ari ya wanachama wa chama hicho. Mengine amesema ni masuala ya kikokotoo, Katiba mpya, Tume huru, bima ya afya na...
  7. H

    Nauza Cisco switch model C1000-24FP-4G kwa 2.3Mil mpya kwa box

    24 ports full PoE 4uplink ni 1G SFP Mpya in a 📦 box hazijafunguliwa with full accessories Bei ni ya offer piga 0717633724 kwa mawasiliano na muuzaji
  8. Gration Mukoba achaguliwa kuwa Mwenyeiti mpya wa CHADEMA Kagera

    Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana. Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na Wenje unaweza kutazama utangazaji wa matokeo hapa chini katika matngazo ambayo ni live
  9. Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  10. Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  11. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  12. Senegal: Wananchi wanapiga Kura leo kumchagua Rais Mpya

    SENEGAL: Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo Machi 24, 2024 ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024 Uchaguzi huu unafanyika baada ya kuwepo...
  13. T

    Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  14. T

    Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

    Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima. Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
  15. A

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  16. Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  17. Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
  18. D

    Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

    Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya. Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!? Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja. Hizo ni cutting...
  19. Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

    1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles). 2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani? 3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye...
  20. Mapendekezo yangu ya combination mpya

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1.math, physics and Chinese 2.physics, chemistry and Russian or arabic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…