mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpya Wizara ya ujenzi nakudokeza tu kuwa Tanroad reshuffle hasa Watendaji mikoani.

    Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana. Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa nchi ina Wakristo zaidi ya 70%, Waislamu wamewezeshwa kushiriki kwa usawa, lakini teuzi hizi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni, na...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    Mwigulu Nchemba anawatisha kwa kuwa ni “Mr. Clean.” Amefuata nyendo za Magufuli. Mwigulu amekuwa Waziri wa Mifugo; hatukusikia amejikatia ranch za umma na kuzifanya za kwake. “Mr. Clean.” Alikuwa Waziri wa Kilimo; hatukumsikia akijikatia mashamba ya umwagiliaji na mitambo. “Mr. Clean.” Amekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Siungi mkono katiba mpya isiyo na haki za makundi yote na kutenganisha dini na siasa.

    Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono. 2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

    Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimesoma Chuo cha Udereva Meru, kwanini sasa natakiwa kusoma tena nikiomba leseni?

    Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni. Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

    Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Bei Ya Umeme Yapanda Τena Kenya

    Gharama ya umeme inatarajiwa kupanda tena kwa mara nyingine kwa watumiaji wa majumbani na viwandani. EPRA imezindua tozo mpya zitakazoongeza bei kwa takriban Sh4.16 kwa kila uniti (kWh) kwa mita zote zitakazosomwa Septemba 2026. Ongezeko linachangiwa na tozo ya mafuta (KSh 3) na mabadiliko ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari unaoongozwa na China unafungua fursa mpya za kazi kwa Watanzania

    Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam. Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Safari ya kuhamia mji mpya

    Kuna wakati katika maisha unafika mahali unatambua kuwa ukuaji wako unaweza kuhitaji mazingira mapya. Kuhamia mji mpya si jambo rahisi. Unaacha marafiki uliozoea, maeneo uliyozoea, biashara ulizozoea na wakati mwingine hata sehemu iliyokulea tangu utotoni. Lakini historia imeonyesha kuwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  19. JamiiForums Tanzania Kafulila ni nani,mbona kila siku uzi mpya ni yeye !

    Heshima sana wsnajamvi. Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake. Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile. Ukitazama nyuzi kuhusu Kafulila hasa JF nadhani kuna kundi la watu pengine wanalipwa au yeye mwenyewe Kafulila...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…