mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
  2. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  5. JamiiForums Tanzania Shekhe kundecha apongeza elimu ya dini katka mtaala mpya

    Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
  6. JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  7. JamiiForums Tanzania Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaja na style mpya ya kukulana

    Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa tunatumia style ya kifo cha mende na mbuzi kagoma kwenda, na mara moja moja huwa tunatumia ile ya popo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Matengenezo ya JamiiForums: Update Mpya Zilizogundulika

    Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia test/staging environment. Hali hii ilisababisha baadhi ya watumiaji kubaini mabadiliko yasiyo ya kawaida...
  12. JamiiForums Tanzania Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  13. JamiiForums Tanzania Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Siku zote mbeba maono hafi bali hupita kwenye tanuri la moto na kutoka akiwa mpya.

    Wasalaam. Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini kulikopitiliza alipuuza na kwenda ndipo Sept 7 akashushiwa mvua ya risasi na kupata kilema cha kudumu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi member mpya

    Mimi member mpya humu
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Maono: 2026 ni mwaka mpya na wa kipekee kupokea na kukamilika kwa total system overhaul

    Salaam! Haya ni maono. Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba, Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika. Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
  19. JamiiForums Tanzania Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

    Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu, Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una...
  20. J

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Evans Mtambi: Chini ya Rais Samia Hati Miliki mpya 4,400, Hati za Kimila 7,400 zilitolewa na migogoro 840 ilitatuliwa kwa haki na uwazi

    == Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025. Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…