mpya

  1. JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari yamekuja na utapeli mpya wa features subscription!

    Makampuni ya magari (sio Japan, Ulaya, Asia wala America) wameanza kuleta utapeli flani na unazidi kushika kasi sana, wa features subscription. Yaani unanunua gari lina features kadhaa (moja wapo mfano iwe remote start), lakini hauwezi kuitumia hadi uwe unailipia kila mwezi au mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

    Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe. Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa. Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho...
  4. JamiiForums Tanzania Nadhani Dunia itanikumbuka kupitia hii Principle mpya Dunia

    "The Principle of Papuchi states that when borrowing increases, prices tend to drop, and vice versa Katika zama hizi za utandawazi na za gizani kuona principle/ kanuni yoyote yenye manufaa dunia ni kazi sana kwasisi ngozi nyeusi. Lakini mm kama msomi itaingia field ili kuifanya principle...
  5. JamiiForums Tanzania Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha jinsi inavyoendelea kuunganisha bidhaa zake na kuwa mfumo mmoja wa kipekee, huku ikiboresha utendaji...
  7. JamiiForums Tanzania BMW nao wamezindua 2nd generation iX3: ni SUV ya umeme kwenye platform mpya!

    Kwenye manesho ya IAA Mobility yanayoendelea huko Munich Ujerumani, wababe wa performance BMW nao wamezindua gari jipya ndani ya platform mpya. BMW iX3 ni SUV mpya ya umeme, juu ya platform mpya ya Neue Klasse. Sasa jina lisikuchanganye na iX3 ya zamani iliokua inashare platform na X3 ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Ni Samia pekee anayeweza kuleta Katiba mpya

    Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa Taifa ili kufanikisha ndoto ya kupata Katiba mpya. Akizungumza leo Jumamosi Septemba 6, 2025...
  9. JamiiForums Tanzania Je, nanii anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba?

    "Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kabla ya msimu huu kuanza. Linapofika suala la uteuzi wa nahodha wa timu huwa kuna vigezo vingi...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya msitusahau bado tunalia

    Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

    Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
  15. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  16. JamiiForums Tanzania Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  17. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  18. JamiiForums Tanzania Hata wewe hapo unaweza anzisha itikadi mpya, ukapata wafuasi, ukalisongesha kwa kulazimisha watu wafatae itikadi yako na mwishoni ukajipaisha mbiguni

  19. JamiiForums Tanzania Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
  20. JamiiForums Tanzania Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

    Habari wadau, Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha. Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…