mpya

  1. Safaricom itatumia nambari ya mwanzo ya 07 katika kampuni mpya ya Safaricom Ethiopia.

    Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano katika historia nzima ya Ethiopia. Safaricom set to use 07 prefix for Ethiopia phones...
  2. Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  3. B

    Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

    Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake: Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao." Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna...
  4. SOLD: Friji mpya ya Boss BS 70 SVR inauzwa

    Friji/Jokofu mpya Inauzwa Model: BS 70SVR Location: Mbezi luis Bei: 290,000/= Mawasiliano: 0768776716
  5. Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

    Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake. Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
  6. Wapinzani anzeni upya, Rais Samia ni mpya pia

    Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it. Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
  7. M

    BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

    Napenda sana Mashairi yake yasemayo... Bigi yangu Nene Bigi yangu Pana Bigi yangu Kubwa Bigi yangu Tamu Naona hata Watoto nao wameupenda.
  8. Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

    Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka? Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
  9. Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  10. R

    Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  11. WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

    Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza usambazaji wa chanjo hizo kote duniani hali itakayotatiza juhudi za kukabiliana na janga hilo. Mkuu...
  12. S

    Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  13. Naomba kujuzwa taratibu za TRA katika kufungua Shule Mpya

    Habarini Wakuu, Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022. Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia. kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje...
  14. L

    Kuibuka kwa aina mpya za virusi kungeweza kuepukwa kama chanjo ingetolewa kwa usawa

    Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi vilivyopewa jina la Omicron, baada ya kutangazwa kuwa vina uwezo mkubwa wa kuenea kuliko virusi...
  15. Tunahitaji propaganda mpya iliyosimama Kupunguza tatizo la Ajira. Serikali mpoo!

    TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...
  16. I

    Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

    Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
  17. Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  18. O

    Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  19. B

    Tatizo la pikipiki kuchelewa kuwaka

    Pikipiki aina ya Dayun. Betri mpya plug mpya. Lakini inachelewa kuwaka sometime napiga kick ndio I wake, tatizo linaweza kusababishwa na Nini wakuu?
  20. R

    Simba imepata kocha mpya wa makipa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa. Maelezo zaidi yatakuja baadae
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…