Naomba kujuzwa bei ya PC aina ya Lenovo au Dell

kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
115
57
Wakuu habari,

Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell.

Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla.

Kimsingi nahitaji kuelewa vitu vya msingi vya kuzingatia na kukagua wakati wa kununua pc hizi.

Natanguliza shukrani!.

Matumizi: ni kwaajili ya kusoma na kufanyia Application mfano za chuo etc.
 
pc sana sana una angalia specification ilizo nazo, generation. kwa beii hapo kwa dukani kama andaa kuanzia 400k au zaidi.

Nyingi uwa zinakuwa refribushed pia usisahau kuangali processor ake apo sas utaangalia unataka prossessor ipi..
 
IMG-20220315-WA0002.jpg
 
pc sana sana una angalia specification ilizo nazo, generation. kwa beii apo kwa dukani kama anda kwanzia 400k au zaidi na nyingi uwa zinakuwa refribushed pia usisahau kuangali processor ake apo sas uta angalia unataka prossessor ipi..
Asante mdau. Unaposema refribushed unamaanisha nini?
 
PC hauangalii brand bali unaangalia specifications kutokana na unazohitaji.

HP, Dell, Lenovo, Acer kote zipo mbovu na bora kuliko nyingine.
Vema. Unaweza niorodheshea baadhi ya specifications muhimu za kuangalia kama inazo ambazo zinaendana na matumizi niliyoainisha kwenye uzi(Nahitaji ya kuitumia kufanyia Application za vyuo na pia materials za kusomea)
 
Back
Top Bottom