mpira

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Mbinguni Hakuna mpira, Okoka Ndugu achana na Mambo ya Dunia ni ya Kupita - Mpira ni kwa watu wanaowaza ya Dunia waliopotea

    Mbinguni hakuna mpira! Ndugu yangu, natamani leo ujifungue macho. Mambo haya ya dunia ni ya kupita — ni kivuli tu kisicho na maana ya milele. Mpira, starehe, burudani… haya yote ni mtego wa shetani kuwapumbaza watu wasimtafute Mungu. Ndugu, leo nakusihi — achana na mpira! Badala ya kutumia...
  3. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Posta hapa mpira unaoneshwa wapi

    Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby. na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking. naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni. kama kuna mtu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kizalendo: Tujitambue kama taifa, tuachane na mambo ya mpira

    habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA...... Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Unafunga goli 3 za offside ndani ya mechi mbili halafu unatoka kujifanya mwanaharakati wa mpira

    Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga. Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwani waislamu ndiyo wenye hatimiliki ya mpira wa Tanzania?

    Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga viongozi wake wengi au karibu wote ni waislamu Kwenye uchaguzi huu wa TFF watia nia wa...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Wanasimba wanatakiwa kujuwa kuwa mpira unaongozwa na sheria

    Kuhusu 25 June, wanasimba wote wanapaswa kujua mpira unaongozwa kwa sheria na kanuni,hivyo sisi kama taasisi ya mpira lazima tuheshimu kanuni na sheria. Niwatoe wasiwasi mchezo namba 184 klabu yetu itakwenda uwanjani kuzipigania alama tatu ambazo zitatupa ubingwa msimu huu. Wanachama na...
  9. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

    Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
  10. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  14. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  15. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kampeni ya kudhibiti lugha chafu kwenye mabanda ya mpira

    Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu kuhusu siasa za mpira wa Simba na Yanga katika tuhuma za kuhujumiana na upendeleo kati yao

    Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Patajengwa world-class training ground za mpira ambazo zitatumiwa na vilabu vikubwa dunian kwa ajili ya maandalizi ya pre-season

    Nikiwa Rais kutajengwa world-class training ground zitakuwa 30 na zitakuwa zinatumiwa na vilabu vya mpira wa Tanzania, na vilabu vikubwa kama real madrid, Barcelona, man City, arsenal et.al kipindi cha pre season Incentive ambao watapewa timu ikija kufanya pre season Tanzania Wataenda mbuga...
  19. G

    JamiiForums Tanzania MPIRA SIO UGOMVI

    Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba Wanalunyasi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Afrika na kushindwa kujiandaa

    Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.? Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa...
Back
Top Bottom