mpira

  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Mitandio ya Mpira inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Zimebaki pc 7. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Mitandio ya Mpira Inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Zimebaki pc 7. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery...
  3. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Mitandio ya Mpira inapatikana

    Mitandio ya Mpira (Jersey hijab) inapatikana. Ukubwa: Medium Bei ya rejareja: sh. 6,000. Bei ya jumla: sh. 5000 kuanzia mitandio mitatu. Mitandio ya shiffon ziko pc 3, kila moja sh 5,500. Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa...
  7. Red black

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiniona nazungumzia masuala ya mpira tena kwanzia leo mnifunge mdomo na gundi

    Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
  8. marcoveratti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Million 5 za goli la mama zimezika mpira wa Tanzania

    GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa. Sasa uchawa wa kwenye...
  10. Boutafrica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu yangu Simba,mkitoboa hapa kwenda robo rasmi nitaamini kweli mpira ni wa duara na hauna pembe.

    Japo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.
  11. Mel James

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, Watu wanazidi kujenga kuzunguka Uwanja wa Mpira wa Ikhanga-Igawilo Mbeya

    Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mpira huu hakuna kukimbia uwanjani

    Dah hii Al Ahly ya Sudan ya Libya Yaan nilifikia uamuzi wa kusema wakizingua kama afcon tutoke uwanjan Ila.kwa mpira huu tutakufa nao
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nchi zetu zinataka tutumie internet kuangalia games, mpira, pornography, movies na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa

    Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
  15. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  16. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  17. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaomlaumu na kumshambulia Prince Dube ni watu wasiojua mpira

    Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa app ya mpira

    Kwenu wanajamvi. Naombeni msaada wa app ya mpira uefa nzuri. Nilizo nazo zinazingua.
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA kufuta magoli yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa. Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
Back
Top Bottom