mpira

  1. Kazanazo

    Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

    Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
  2. Mlalamikaji daily

    Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  4. DuaZaMama

    Derby ya kariakoo serikali imewaachia mamlaka za mpira, huku ikifuatilia Kwa ukaribu mvutano uliopo

    Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
  5. GENTAMYCINE

    Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  6. Premierleague

    Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  7. FYATU

    Kuanzishwe kampeni ya kudhibiti lugha chafu kwenye mabanda ya mpira

    Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani...
  8. Yoda

    Swali la ufahamu kuhusu siasa za mpira wa Simba na Yanga katika tuhuma za kuhujumiana na upendeleo kati yao

    Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  10. Dennis Robert Shughuru

    Patajengwa world-class training ground za mpira ambazo zitatumiwa na vilabu vikubwa dunian kwa ajili ya maandalizi ya pre-season

    Nikiwa Rais kutajengwa world-class training ground zitakuwa 30 na zitakuwa zinatumiwa na vilabu vya mpira wa Tanzania, na vilabu vikubwa kama real madrid, Barcelona, man City, arsenal et.al kipindi cha pre season Incentive ambao watapewa timu ikija kufanya pre season Tanzania Wataenda mbuga...
  11. G

    MPIRA SIO UGOMVI

    Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba Wanalunyasi...
  12. D

    Mpira wa Afrika na kushindwa kujiandaa

    Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.? Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa...
  13. S

    Siasa za mpira zimezikwa rasmi uwanja wa Amani, sasa tugeukie siasa za mabadiliko ya sheria za uchaguzi

    Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana. Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana. Sasa...
  14. Royal Son

    Kuna shabiki wa mpira hapokei simu

    Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
  15. B

    Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  16. DELETED ACCOUNT

    Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  17. Arsenal Gunner

    Serikali usiingilie mpira mechi itapelekwa Rwanda

    Naona watu wasiowajua CAF vizuri inawaambia serikali ifanye udanganyifu Ili mechi isichezwe New Amani Nasema kama mnataka kujichanganya mkacheze mechi Kwa Kagame iambieni serikali itie ngumu hapo ki uhlisia jamaa wanajua chore kinachoendelea bongo
  18. Dennis Robert Shughuru

    Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

    Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka Multiplier...
  19. Camilo Cienfuegos

    Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  20. gallow bird

    Inapasa mtu( watu) kuumia Ili kuokoa mpira wetu

    Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni mlinzi, kaambiwa ni majeruhi hatocheza mechi dhidi ya simba ilhali si majeruhi Mambo meusi kama...
Back
Top Bottom