mpira

  1. JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari. 2)Uchache...
  3. JamiiForums Tanzania Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

    Ukubwa wa mamelod ni upi? Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa? Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku? Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au? Mamelodi kazidiwa mafanikio na Al ahly Wydad...
  4. JamiiForums Tanzania Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
  5. JamiiForums Tanzania Mpira ni heshima, kujitoa moyo na subra. Bila haya mambo hutoboi

    Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka. Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
  6. JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Wadau wakiangalia mpira huku wakigonga vyombo

  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest! Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au...
  10. JamiiForums Tanzania Al Ahly na Belouzdad namna walivyomiliki mpira ⚽️

    💪🏽 Kama waliambizana vile hahhaaa 😃💪🏽 Al ahly na yanga, robo fainali Belouzdad na medeama wameaga
  11. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC 📆 01.03.2024 🏟 Cairo International 🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿 TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  12. JamiiForums Tanzania Sitorudia tena kucheza mpira

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita. Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua...
  13. JamiiForums Tanzania Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  14. JamiiForums Tanzania Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana. Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini AFCON 2027 itatukuta hatujajenga viwanja vyetu vya mpira!

    Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa. Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma. Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda...
  16. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  17. JamiiForums Tanzania Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  18. JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  19. JamiiForums Tanzania Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

    Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Dah! Nimeamini Kwenye Mpira uchawi upo, Sio kwa Alichokifanya Ivory Coast leo!

    ***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi! ***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…